Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

PICHA 5: Basi Walilopewa Serengeti Boys Kwa Ajili Ya AFCON U-17 Gabon


Michuano ya AFCON U-17 imeanza leo nchini Gabon katika kisiwa cha Port Gentil nchini Gabon, timu ya taifa ya Tanzania kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys kesho ndio itacheza mchezo wake wa kwanza wa Kundi B katika mji wa Libreville ikicheza dhidi ya Bingwa mtetezi Mali.

Shirikisho la soka barani Afrika CAF ambao ndio waandaaji wa michuano hii wametoa mabasi ya kisasa kwa timu zote nane zinazoshiriki michuano hii kwa ajili ya matumizi wakati wa kwenda mazoezini na katika mechi kwa muda wote watakaokuwepo Gabon.


Credit:millard ayo


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017