Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

PICHA: Kabla Mauti Hayajawakuta, Hizi Ndio Picha Walizopiga


Leo tarehe 6, Mei 2017 Taifa la Tanzania limekumbwa na msiba mzito baada ya wanafunzi wapatao 29, walimu 2 na dereva wa bus la shule lililokuwa limewabeba wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent kupata Ajali maeneo ya Karatu, Arusha. Tukio hilo linalotia simanzi limesababisha majonzi makubwa nchini na watu mbalimbali wameendelea kutoa salamu za rambi rambi na masikitiko yao kuonyesha kuwa wageswa sana na tukio hilo.


Hospital ya Lutheran Karatu maiti zilizopokelewa hapo hospitali ni maiti 32 miongoni mwao waalimu ni 2 dereva 1 na wanafunzi 29 ambapo wanafunzi wa kiume 11 na wasichana 18 nakufanya jumla hiyo ya maiti 32, kabla ya kuanza safari, Wanafunzi hao wa darasa la saba walipiga picha za ukumbusho wakiwa na furaha, na wengine walionekana na huzuni kama walijua kinachoenda kutokea. 
picha zaidi-->Bofya Hapa

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017