Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimjulia hali Godfrey Tarimo mwenye umri wa miaka 11 ambaye ni
mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa
Arusha ya Mt. Meru, Godfrey ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali
waliopata wanafunzi wa Lucky Vincent (Picha na Ofisi ya Maku wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimjulia hali Doreen Mshana mwenye umri wa miaka 13ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa
Arusha ya Mt. Meru, Doreen ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali
waliopata wanafunzi wa Lucky Vincent (Picha na Ofisi ya Maku wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akimjulia hali Sadia Isamel Awadhi mwenye umri wa miaka 11
ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa wa
Arusha ya Mt. Meru, Sadia ni mmoja ya waliojeruhiwa katika ajali
waliopata wanafunzi wa Lucky Vincent (Picha na Ofisi ya Maku wa Rais)
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini