Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Ratiba Kamili Super Cup Ya Sportpesa, Simba, Yanga Vs Wakenya Kazi Ipo


Sport Pesa Cup 

5/6 Singida united Vs FC leopard
Yanga Vs Tusker fc

6/5 Simba Vs Nakuru All Star
Jang`ombe boys vs Gor mahia


Nusu fainali tarehe 8 

Bingwa wa mechi kati ya Singida united vs AFC leopard atacheza na bingwa kati ya Yanga na Tusker

Nusu fainali ya pili Bingwa wa mechi kati ya Simba na Nakuru all star atacheza na bingwa wa mechi kati ya Jangombe boyz na Gor mahia


Fainali ni tarehe 11 Bingwa kupata milioni 60.


Ligi itashirikisha timu za Kenya na Tanzania na ligi itashirikisha timu nane na mshindi atapata dola 30,000 na mshindi wa pili dola 10,000.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017