Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

TANZIA: Baba Mzazi wa Marehemu Amina Chifupa Afariki Dunia

TANZIA: Baba mzazi wa aliyekuwa mbunge wa viti maalum, marehemu Amina Chifupa, Mzee Hamiss Chifupa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Taarifa za awali zinasema mzee Chifupa alikuwa akisumbuliwa na tatizo la kiharusi.
Taarifa zaidi kuhusu msiba huo tutaendelea kukujuza.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017