Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

TID: Huwa Nahonga Fedha ili Muziki Wangu Upigwe Redioni, Watu Wamenitenga Isipokuwa Makonda



Msanii mkongwe kwenye gemu la bongo fleva amedai siku hizi inabidi uhonge fedha ili muziki wake upigwe redioni na yeye pia inabidi afanye hivyo
Amesema kuna nyimbo mbovu sana siku hizi ambazo zinapigwa redioni na kwenye Tv hadi zinapendwa kwa kuwa Ma DJ wanahongwa

Pia sasa hivi amedai watu wengi wamemtenga baada ya kuachana na madawa ya kulevya na kuwa karibu na Makonda 



Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017