Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Utoto Wamtesa Tunda Kimapenzi..Wizkid Atajwa

UTOTO unaonekana kumtesa muuza sura kwenye video za wasanii wa Kibongo, Tunda Sebastian ambaye licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mtu mwingine, ameibuka na kudai anampenda ‘kufa mtu‘ msanii wa Nigeria, Wizkid.
Akizun-gumza na Risasi Vibes, mwanadada huyo alisema kuwa amekuwa akimzimia jamaa huyo kwa muda mrefu na ndoto zake ni siku moja kuwa naye kwenye uhusiano wa kimapenzi.

“Msema kweli mpenzi wa Mungu. Kiukweli ninampenda Wizkid. Ni bora niweke wazi maana hata nisiposema nitabaki naumia tu moyoni,” alisema Tunda.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017