Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Video: Florah Kuhusu Kumualika Harusini Mume Wa Zamani Na Kumzidi Umri Mume Mpya




April 30 2017 Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Madame Flora (zamani Flora Mbasha) alirudi kwenye headlines baada ya kufunga ndoa kwa mara ya pili baada ya kuachana na mume wake wa zamani (Emmanuel Mbasha).


Sasa comment zimekuwa nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na umri wa mume wake wa sasa aitwae Daudi na wengine wanasema haiwezekani kwa Mkristo kufunga ndoa ya pili, mengine ni kuhusu kumualika Mume wake zamani kwenye harusi, maswali yote kayajibu kwenye hii Exclusive Interview hapa chini. VIDEO:

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017