Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

VIDEO: Klabu ya Simba kutumia mil.30 kuishtaki 'TFF' FIFA

Rais wa Klabu ya Simba SC, Evans Aveva amesema kufuatia madai yao ya kupokwa Pointi 3 walizokuwa wepewa na kamati ya Saa72, baada ya timu ya Kagera kumchezesha mchezaji aliyekuwa na Adhabu ya Kadi 3 za Njano kwenye Mechi yake  na Simba Sc, Klabu hiyo imeazimia kuipeleka 'TFF' mbele shirikisho la mpira wa miguu Duniani "FIFA" 

Kuhusu kutumia dola za kimarekani (Milioni 30)?, hukumu ya Haji Manara? vyote amezungumza kwenye Video hapo chini
 Usisahau ku-share na Ku-Subscribe Muungwana Tv 


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017