Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Anna Mgwira: Mtu Asijenifuata Ofisini Kuniambia Masuala Ya ACT


Mkuu mpya wa mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghirwa amesema kwa sasa yeye anaitumikia serikali na anapokuwa ofisini anakuwa ana deal na mambo ya serikali tu na mtu asij ofisinikwake kuzungumzia masuala ya ACT kwani kama anataka kuzungumzia maswala hayo itakuwa ni kwenye ofisi za chama hicho

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017