Watu wengi walikuwa wakijiuliza maswali yasiyokuwa na majibu, Ivan alikuwa anatoa wapi pesa alizokuwa anazichezea na kuzichop huku na kule wakati kazi yake ya kumuingizia pesa za kufanya matanuzi yooote ilikuwa bado haijulikani. Maana Zari aliwahi kukaririwa akisema kuwa Ivan kama Mkurugenzi wa Brooklyn City College alikuwa analipwa mshahara kama wafanyakazi wengine.
Fukua fukua ya ikapata passport yake, Katika Passport ambayo ni ya Jina la Ali Senyomo ambaye wanadai ndio Ivan. Passport hiyo imeonyesha jina na details nyingine zinazomhusu Ali Senyomo…na moja ya details walizokuwa watu wakitaka kujua ilikuwa ni kazi yake. Kulingana na passport, Ivan alikuwa ni “Mganga wa Kienyeji” Tazama Picha ya Passport hapa
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini