jamani naomben tusaidiane kuwatoa shaka hawa wenzetu wanao
jihisi kuwa na uume mfupi kwa imekuwa kawaida humu jamvini watu kutaka dawa za
kuongeza uume ingawa mimi nahisi kinacho watoa kujiamini ni pamoja na
1.kuangalia picha za ngono hasa za usa
2.kujifananisha na ndugu jamaa na marafiki
3.kujitathmini hasa uume ukiwa umelala
4.kushindwa kutumia baadhi ya styles za
mapenzi
hayo ni baadhi ingawa nahisi kuna wataalamu
wataleta mengi zaidi
tukianza na la kwanza watu wengi hasa vijana
wamekuwa na tabia ya kupenda kutizama video za ngono kitu ambacho kinawafanya
kujiona wana size ndogo kwa kujilinganisha na wachezaji wa video hizo
hilo la pili watu wengi hasa vijana ladba
akimuona kijana mwenzie ana uume mkubwa ,,tayari yeye anaanza kujihisi ana uume
mdogo na anasahau kuwa hata huyo aliye muona anaweza kuwa na uume mkubwa
kutokana na maumble yake
hilo la tatu wengi huingia wasiwasi hasa
wakijilinganisha na wenzao labda wakiwa bafuni hasa kwa wanao soma hostel
wakati uume ukiwa umelala , lakini kumbe wanaume wametofautiana kuna wengine
uume ukiwa umelala unakuwa mkubwa na utakapo simam utaongezeka kidogo sana
lakini pia kuna wale ambao uume ukiwa umelala unakuwa mdogo sana unaeza sema wa
mtoto lakini ukisimama unafika sawa na ule ambao uliuona mkubwa kabla natena
waweza kuwa zaidi hivo hilo liwasipe shaka.
hilo la nne vijana wengi limewatoa kwenye mood
hasa wakiwa na wapenzi wao hii hutokana na baadh ya wanawake ladba anaeza
kujieka style ambayo inahitaji uume mrefu kidogo kuifikia hii hutegemea na
umbile la mwanamke pia.na hasa wanawake wanene na wenye makalio makubwa kuna
baadhi ya style huwa ni ngumu sana kwa wanaume wenye uume wa kawaida
kuzitumia,hivyo inatakiwa pia uzingatie hilo,jua umbo la mkeo lipoje ili ujue
ni style gani itasaidia kufanya deep penetration
sasa kuhusu ni saizi gani inatakiwa anbayo ni
average hilo naomba wadau wachangie ingawa mie nijuavyo ni approximately length
of a 5.5 to 6.3 inches (13.6cm to 16cm) and girth au unene ranging between 4.5
to 5.1 inches(12-13cm) .
hivyo basi kama hujui kujipima, suburi uume
usimame then pima kuanzia pale unapo anzia upande wa juu hadi mwisho wa kichwa
ili kupata urefu na zungusha tape yako katikati ta uume ili uweze kupata unene ,then
ukiona unarange vipimo hivyo huna haja ya kutafuta madawa jiamini kwamba uko
normal na mambo
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini