Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Irene Paul Wa Bongo Movies Abarikiwa Mtoto Wa Kike Tarehe Na Mwezi Baba Yake Aliyofariki


Msanii Maarufu wa Bongo Movies Irene Paul  amejifungua mtoto wa kike Leo tarehe 6 mwezi wa 6, 2017, Irene ameona ni maajabu kwasababu tarehe na mwezi ambao baba mzazi wake alifariki mwaka 1996 dio mtoto wake kazaliwa
Irene Ameandika haya:

From @irenepaul001 - Nilimuona Mungu akinipigania na kunipa heshima mbele ya ma taifa, NIMEBARIKIWA,NIMEBADILISHWA JINA☺eti siku babangu aliyoenda 6.6.1996 ndio siku wewe uliyokuja 6.6.2016,umekuja na mengi ila kubwa kuliko yote ni UPENDO KAMA JINA LAKO😆😆MUNGU UNAISHI,MUNGU LITUKUZWE JINA LAKO,BABA YANGU UTUKUFU HESHIMA NA MAMLAKA VINA WEWE,WEWE NI MKUU NA UKUU WAKO HAUNA MWISHO,NAKUSHUKURU YARABI....MIKONO YANGU NI MIDOGO KUBEBA ZAWADI HII ILA KWA HURUMA YAKO NISAIDIE BILA WEWE HATUWEZI/SIWEZI.....HAPPY BIRTHDAY BABY WENDO-ISABEL 6.6.1Y

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017