Wabunge wataka Washehereshaji(MCs) na Wapiga picha waanze kutozwa kodi ili Serikali iweze kukusanya mapato ya kutosha.
Wakati huo huo, Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Allan Kiula amesema maeneo mapya ambayo yanaweza kuanzishiwa kodi kuwa ni pamoja na Ushauri Elekezi (Consultancy Agencies) sambamba na kuimarishwa kwa ukusanyaji wa kodi ya zuio ya asilimia 10 kutoka kwa wamiliki na wapangaji wa nyumba na makazi
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini