Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Mama Diamond Platnumz Afunguka Haya Kuhusu Ujauzito Wa Hamisa Mobeto

Baada ya kuwepo kwa story ambayo inaendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa mwimbaji staa Diamond Platnumz amempa ujauzito Hamisa Mobetto na kumnunulia gari, mama mzazi wa staa huyo amefunguka.

Kupitia Clouds FM na mtangazaji Soudy Brown baada ya kuwakosa Diamond na Hamisa Mobetto alipiga story na mama mzazi wa Diamond kuhusu issue hiyo:
“Umempa wewe? Napatana naye. Mimi napatana na kila mtu. Ananiona nuski, mbona unataka nionake na mimi mbea? Mimi nakuambia sinaga mambo hayo ya kukaa na watu kumuongelea mtu. Mimi napatana na Zari aliyeniletea watoto.” – Mama Diamond.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017