- Mzee Yusufu akiweka mchanga kwenye kaburi la marehemu mkewe Bi Chiku leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
- Jeneza la mwili wa marehemu likiingizwa katika makaburi ya Kisutu mchana wa leo.
- Mzee Yusufu akiwa amebeba mwili wa mtoto wake aliyefariki.
- Mzee Yusuf akisaidiwa kuingia katika makaburi ya Kisutu.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati) wakati wa mazishi. Kushoto ni Meneja wa Ukumbi wa Burudani wa Dar Live, Juma Mbizo.
Mke mdogo wa Mzee Yusuf, Bi Chiku aliyefariki Hospitali ya Amana kwa uzazi jana amezikwa leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini