Serikali imepiga Marufuku matumizi ya picha za Marais wastaafu wa awamu ya Nne na ya tatu na kuyahusisha na Sakata la Makenikia.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Harriso Mwakyembe ametoa tamko hilo leo tarehe 15,Juni.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini