Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Uchaguzi Uingereza 2017: Mbwa Wafika Kwa Wingi Vituoni

Wapiga kura walipokuwa wanafika vituoni kupiga kura Uingereza, mbwa wa kila aina hawakuachwa nyuma.
Na punde si punde, watu walianza kugundua kwamba wanyama hao walikuwa wengi sana ajabu, na kitambulisha mada cha #DogsAtPollingstations (Mbwa vituo vya kupigia kura) kikaanza kuvuma mitandaoni.
Kando na mbwa, kunao watoto, paka na hata nungunugu walionekana na kuvutia watu vituoni.
Picha ya kutoka Twitter @SAMiCUREHaki miliki ya picha
Wengi walipakia picha za mbwa wao mtandaoni Alhamisi asubuhi na katika kipindi cha saa mbili za kwanza baada ya vituo kufunguliwa, ujumbe 8000 kuhusu mbwa ulikuwa umepakiwa mtandaoni.
Mtindo kama huo ulionekana katika uchaguzi wa mitaa mwezi uliopita, kura ya maoni kuhusu kujiondoa kwa Uingereza kutoka Umoja wa Ulaya na wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana.
Mwaka huu, Twitter hata walitoa kibonzo cha mbwa akiwa amevalishwa bendera ya Uingereza.
Twitter walishirikiana na wakfu wa The Dogs Trust kutetea kuwepo kwa mazingira bora ya mbwa kwenye vituo vya kupigia kura.
Ujumbe wa @DachshundOttoHaki miliki ya picha
Screen grab of tweet by @TheSpeer7Haki miliki ya picha
Ujumbe wa @Thefpl_vetHaki miliki ya picha 
Skye waiting by a polling stationHaki miliki ya pichaSkye alihakikisha kwamba mpiga picha anapata picha yake nzuri eneo la Essex
Screen grab of tweet by @falcoretweetsHaki miliki ya picha
There was an interruption when an unexpected guinea pig popped up.
NungubandiaHaki miliki ya picha
Lakini mbwa bado walikuwa ndio wengi.
Image submitted by SarahHaki miliki ya picha
Screen grab of tweet by @jodiedoubledayHaki miliki ya picha
Screen grab of tweet by @DrRJWalkerHaki miliki ya picha
Dalmatian dogHaki miliki ya picha
PedHaki miliki ya picha
@H_IngramHaki miliki ya picha
Baadhi ya mbwa aina ya Pooch hawakuweza kufika vituoni, lakini wanaonekana kutotaka kuachwa nje:
@MansehoundHaki miliki ya picha
Kuliwepo hata hivyo na wanapaka, na kitambulisha mada ya #catsatpollingstations (paka vituoni) pia kilivuma kiasi.
YorkshireHaki miliki ya picha
Hata nungunungu huyu kwa jina Friday alitaka kushiriki Hemel Hempstead.
Hedgehog at a polling stationHaki miliki ya picha
Na farasi je? Walikuwepo pia.
@FontwellParkHaki miliki ya picha
KondoHaki miliki ya picha

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017