Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Ufafanuzi Kuhusu Taarifa Inayosambazwa Katika Mitandao Ya Kijamii Juu Ya Bidhaa Ya Mchele Aina Ya BASMATI Wenye Jina La “SUNRICE”

#TaarifaKutokaTFDA: Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) imebaini uwepo wa 'video clip' inayosambazwa kupitia mtandao wa kijamii 'WhatsAAp' ambapo inasikika sauti ya mtu inayotoa tahadhari kuwa mchele aina ya 'Basmati' wenye jina la kibiashara la 'Sunrise' siyo mchele bali ni plastiki.....


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017