Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

VIDEO:Taarifa Ya Trafiki Kuhusu Adhabu Ya Viboko Kwa Dereva

"Suala la kwanza tunataka kulipa kipaumbele ambalo hatukufanikiwa katika mkakati wetu wa kwanza ni kuhusu NUKTA katika leseni za udereva tulisema tuanze lakini hatukufanikiwa lakini suala la pili ni kuchukua hatua kali dhidi ya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani, ikibidi hata kuwachapa viboko maana lazima muda mwingine twende hivyo hatua zitakuwa kali sana safari hii" Hayo ni maneno ya Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wa Mambo ya Ndani Massauni aliyoyatoa Juni 9 Mwaka huu mjini Dodoma

Makao makuu ya Trafiki Tanzania kupitia kwa kaimu kamanda mkuu wa kikosi hicho SACP Fortunatus Musilimu Ameviambia vyombo vya habari leo juni 13 kuwa hakuna dereva atakayecharazwa viboko na wala kisheria adhabu hiyo haipo.

 TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017