Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Dudu Baya Awapasha Mademu Wenye Tabia Ya Kuwategeshea Mimba Wanaume Ili Waolewe


Msanii Dudu Baya amesema wanawake wa Tanzania wana kawaida ya kulazimisha ndoa, hasa wanapopata ujauzito hata kama ni kwa bahati mbaya.Dudu Baya ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye Planet Bongo ya East africa Television, na kusema kwamba jambo hilo haliingii akilini kwani walipokutana hawakukubaliana kuona.
"Mimi mwanamke wangu ni bapa, wanawake wa kitanzania ukishampa mimba ndo kashalazimisha ndoa, suala la ndoa ni makubaliano na kama ukimuacha ndo anaenda kukupiga misumari", amesema Dudu Baya.
Usipitwe na Habari Muhimu, Install App  Yetu


Android ===>  Bofya hapa
Pia Dudu Baya amesema kwa sasa anatamani angeoa, kwani tayari ana watoto ambao wengine ni wakubwa.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017