Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Hawa Ndo Wachezaji Watatu Wanaotarajia Kuondoka Yanga



Wakati makinda Yusuph Mhilu na Maka Edward wakiwaniwa na Mbao FC kwa mkopo, mshambuliaji Matheo Antony yeye anakaribia kutua Kagera Sugar naye ikiwa kwa mkopo.

Kocha wa Kagera Sugar Meck Mexime amethibitisha klabu yake kuwasiliana na uongozi wa Yanga juu ya mchezaji huyo ambapo kimsingi wamefikia makubaliano.

Mexime ameahidi kumpa nafasi ya kutosha mshambuliaji huyo ili aweze kuimarisha kiwango chake.

Ndani ya kikosi cha Yanga, Matheo ameshindwa kupata nafasi.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017