Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Irene Uwoya Azidi Kuwapumbaza Mashabiki

Muugiza wa Bongo Movie ajulikanae kwa jina la Irene Uwoya ambaye kwasasa anajiita Sheila jina ambalo analitumia  baada ya kufunga ndoa na  msanii wa muziki wa Bongo freva maarufu kama Dogo Janja mapema hivi karibuni .
Msanii huyo leo amezidi kuwapumbaza mashabiki wake kutokana na kile alichokiposti kwenye mtandao wa kijamii maarufu kama Instagramu ambapo wengi wameshindwa kuelewa alichokimaanisha Irene ameandika hivi   “Mwisho wa mshangao ni Mazoea!!! haya sasa tujenge Taifa”
kitu ambacho mashabiki wengi wameshindwa kuelewa kile alicho maanisha katika posti hiyo yenye maswali mengi.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017