Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

MOBETTO: “Nimeviona Vya Diamond Kuliko yeyote”

Mrembo Hamisa Mobetto usiku wa October 13 2017 alifanya Party ya mtoto wake ambae amezaa na Mwimbaji Diamond Platnumz ambapo kwenye hiyohiyo party Hamisa alikubali kuhojiwa na Soudy Brown na kujibu maswali mbalimbali.

Miongoni mwa maswali aliyoyajibu ni kama anamchukia Zari ambapo alisema hamchukii na wala haoni kama chuki zinasaidia, anatambua kwamba watoto wao ni ndugu ambapo pamoja na yote wanayopitia kama Wazazi anaamini kuna siku watapatana.

Usipitwe na Habari Muhimu, Install App  Yetu

Android ===>  Bofya hapa
Mengine yote aliyosema Hamisa yako kwenye hizi video hapa chini unaweza kujionea mwanzo mwisho na party ilivyokwenda.

TAZAMA VIDEO:


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017