
Ilikua hali ya taharuki baada ya abiria waliokuwemo kwenye daladala kuambiwa na watu wa nje barabarani kwamba gari walilopanda limeshika moto, abiria wakaanza kuruka hata gari halijasimama ambapo hakuna aliejeruhiwa, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama ilivyokua VIDEO:
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini