Mmoja kati ya viongozi waliokumbwa na msukosuko wa mauaji KIBITI mkoani Pwani miezi kadhaa iliyopita aliyejitambulisha kwa jina la Martin Nicolous Ambaye naye alikuwa Mwenyekiti wa mtaa wa Mangwa huko Nchukwi Kibiti Amejitokeza mbele ya vyombo vya habari na kueleza namna ambavyo alinusurika kuuawa baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana ndani ya nyumba yake majira ya usiku, ambao anadai walimsababishia upofu kwa kumtoboa jicho moja lakini kulingana na kipigo hata jicho la pili halina uwezo tena wa kuona.
Swali ni Je, aliwezaje kupona umauti wakati anadai alikutwa kwenye miili ya waliouawa? Nini kilitokea baada hao watu kuvamia nyumba yake? Yote amefunguka kwenye Video Hapo chini
TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini