kuhusu hali ya afya ya sasa ya Vengu ambae tulimfahamu kwa kazi yake ya uchekeshaji kwenye kundi la Orijino Komedi.
Baada ya Vengu kutoendelea kuonekana hadharani kwa miaka, Seki ambae ni kiongozi wa kundi hilo amesema>>> “Vengu ameshavuka hatua za kukaa Hospitalini na sasa yuko nyumbani anamalizia hatua nyingine ya matibabu ambayo ni nje ya Hospitali“
Tazama hii video hapa chini kupata maelezo zaidi…
Usipitwe na Habari Muhimu, Install App Yetu
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini