Wanafunzi wawili wa kike kutoka nchini Uholanzi wametangaza kuuza bikira zao mtandaoni ili kuweza kulipia ada ya chuo
Lola amesema amekosolewa na wasichana wenzake mtandaoni lakini amesema haogopi hilo kwani wanawake wengi hawajaolewa na wanaume waliowatoa bikira ndio maana haitaji kuitunza hadi kuolewa.
“Wenzangu wananicheka ila kwa uelewa wangu ni kwamba sijawahi kusikia mwanamke kaolewa na mwanamme aliyemtoa bikira hivyo nimeamua kuuza tu usichana wangu ili nisijekuumizwa na mtu ambaye ataniacha baadaye.“amesema Lola.
Kwa upande rafiki yake na Lola, Monica (20) yeye amesema kuwa haoni mtu anayestahili kumpatia bikira yake hivyo ni bora akaiuza ili aweze kulipia masomo yake ya chuo.
Hata hivyo wataalamu wa masuala ya kisaikolojia nchini Uholansi wanasema kuwa wanaamini wasichana hao sio mabikira kama wanavyodai bali wanafanya udanganyifu taarifa ambazo zinapigwa na mmiliki wa mtandao wa Cinderella Escorts ambaye amesema kuwa ameshawafanyia vipimo kwa njia ya mtandao na kuwaona ni mabikira.
Hatua ya wasichana hao imekuja baada ya msichana mmoja mwanafunzi kutoka nchini Uingereza aliyetambulika kwa jina la Jasmin kuuza bikira yake kwa dola $100,000 mwaka jana.
Majina ya wanafunzi hao yaliyotumika kwenye habari sio sahihi kwa ajili ya usalama hata chuo pia hakijatajwa. Unaweza kuingia HAPA kupanda dau kwa wewe mwanaume mwenye milioni 52
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini