Watu zaidi ya 3 500 waondolewa katika jumba la maigizo la Bolchoi mjini Moscow, kituo cha biashara na hoteli ya Metropol mjini Moscow baada ya ilani ya bomu kutolewa.
Ilani hiyo ya bomu iliotolewa imesababisha ghufu kubwa kwa raia walikuwa katika maeneo hayo.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kikosi cha usalama ni kuwa mtu mmoja alitoa taarifa za kuwepo kwa bomu bila ya kutoa taarifa kamili.
Usipitwe na Habari Muhimu, Install App Yetu
Baada ya taarifa hiyo kutolewa watu 3 500 waliondolewa katika maeneo hayo kuhufia tahadhari ya bomu iliotolewa.
Tahadhari ya bomu katika maeneo zaidi ya 20 ilitolewa mjini Moscow.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini