Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Alichosema Askofu Gwajima Leo Kanisani Kuhusu Kutekwa Kwake


Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ingawa watanzania wana hofu ya kutekwa lakini yeye hawezi kutekwa bali anateka watu. 

 Alifafanua kauli yake hiyo akisema anateka fikra, mawazo, elimu za watu ili wamgeukie Mungu. 

 Ameyasema hayo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwake.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017