Mwenyekiti wa bodi ya Parole Augustino Mrema amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015.
Mrema amesema tangu Mbatia amekuwa mbunge hajawahi kwenda kumuona na ameongeza endapo hatampelekea sukari hiyo atavua nguo.
==>Bonyeza hapo chini kusikiliza
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini