Makao makuu ya jeshi ya Marekani, Pentagon, yamemwua Mshauri Mkuu wa kiongozi wa Taliban, Abdul Rahmna al-Uzbek katika shambulio lililofanywa nchini Syria
Kingozi wa Taliban ni Abu Bakr al –Bhagdadi.
Msemaji wa Pentagon, kanali John Thomas, alisema kuwa Abdul Rahman al-Uzbek, aliuawa Aprili 6 lakini taarifa zaidi hazikutolewa.
Alisema kuwa Al-Uzbeki alishiriki katika kupanga mashambulizi kwenye kilabu kimoja usiku wa kuamkia mwaka mpya mjini Istanbul ambako watu 30 walifariki.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini