Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

BMT Yatoa Maagizo Matano Kuhusu Kinachoendelea Kati Ya Simba Na TFF

Mohamed Kiganja Katibu Mkuu wa BMT

 mvutano unaoendelea baina ya club ya Simba dhidi ya shirikisho la soka Tanzania TFF, Simba wamekuwa wakiituhumu TFF kutowatendea haki kwa mambo kadhaa na kuamini kuwa TFF wanawapendelea wapinzania wao Yanga.

Simba wametangaza kufanya maandamano ya amani siku ya Jumanne ya April 25 kutoka makao makuu yao Kariakoo hadi wizara yenye dhamana ya michezo kupeleka malalamiko yao, kufuatia malalamiko hayo ya Simba, Baraza la Michezo Tanzania BMT kupita katibu mkuu wake Mohamed Kiganja wameagiza mambo matano yafanywe na TFF na Simba.


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017