Wanachama wa CUF wanadaiwa kuwa upande wa Maalim Seif wavamiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari na kujeruhewa na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa Professa Ibrahimu Lipumba.
Mkutano huo ulioitishwa na Mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya Kinondoni Juma Mkumbi ambao ulilenga kueleza kuhusu msimamo wao kuhusu mustakabali hicho kutokana na mgogoro uliokuwepo kwenye chama.
Angalia Video inayoelezea mkasa wote kuhusu kuvamiwa huku.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini