Msanii wa muziki wa Hiphop Tanzania anaewakilisha vema rock city Young killer Msodoki alipagawa baada ya kupewa taarifa ya kuwepo kwenye wimbo wa pamoja na Boss wa wasafidotcom Diamond Platinumz.
Diamond Platinumz amesema kuwa anayo kolabo na rapa @Youngkillermsodokii na siku aliyomuita studio kumpa taarifa za kuwa watafanya kazi pamoja rapper huyo alipagawa na hakuamini alichokisikiana.
Msikilize diamond platinumz hapo juu akieleza zaidi:
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka