Muonekano wa basi baada ya kupata ajali na watu 27 wamefariki leo na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori huko Kambu, Mombasa nchini Kenya.
Muonekano wa Lori baada ya kupata ajali.
Basi likiwa katika muonekano mbaya baada ya kupata ajali.
Bonyeza
HAPA Kudownload Applicationi Ya
Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini