Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

VIDEO: Je CCM Wanaruhusiwa Kufanya Vurugu na Kuachiwa? – Peter Lijualikali

LEO Aprili 27, 2017 Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali (CHADEMA) amemtwanga swali Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni kuhusu vurugu zinazodaiwa kufanywa na wafuasi wa CCM kuwajeruhi askari polisi.
Lijualikali amehoji endapo CCM wanaruhusiwa kufanya vurugu na kuachiwa huru.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017