Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Amanda Awashangaa Wanaume Kuhonga Asema Angekuwa Kidume Angefanya Haya Kwa Mademu Wapenda Pesa

Mrembo  kunako tasnia ya Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’ ameshangazwa na tabia ya baadhi ya wanaume kuhonga wanawake wakati pesa wanazitafuta katika mazingira magumu na ya kusikitisha.
Akizungumza na Showbiz Xtra , Amanda alidai kuwa, anashangazwa na tabia hiyo ilihali wakijua kwamba hivi sasa pesa imekuwa ngumu kupatikana. “Mi’ nawashangaa sana wanaume wahongaji, mtu ana mke, lakini bado anahangaika na kuhonga michepuko, kama mimi ningekuwa mwanaume, nisingekuwa ninahonga aisee,” alisema Amanda.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017