Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Apata Kiwewe Baada Ya Kushindia Bilioni 4.8 Kutoka ‘Sports Betting’

Samuel Abisai akiwa na hundi yake baada ya kujishindia Kshs. 221,301,602/= sawa na Shilingi bilioni 4.8 za Kitanzania.




Viongozi wa SportPesa wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumkabidhi hundi mshindi.


Mkurugenzi Mtendani wa MpiraPesa, Cpt.Ronald Kariuri akiongea jambo baada ya kumkabishi hundi mshindi.
Cpt.Ronald Kariuri akiwa nyumbani kwa mshindi baada ya kutua kwenda kumpokea.
Samweli akiwa katika hali ya mshutuko baada ya kushinda pesa.
Muonekano wa gari la kipekee lilokwenda kumpokea mshindi huyo wa SportPesa.
Waendesha bodaboda wakiwa katika msafara wa kwenda kumchukua mshindi nyumbani kwao Thika Road.
Gari likiwa limeegesha nyumbani kwa mshindi.
Wananchi na wanahabari wakiwa nje,  nyumbani kwa mshindi.
Samuel Abisai wa Kenya amejishindia Ksh. milioni 221 (sawa na Sh. Bilioni 4.8 za Kitanzania) kutoka kampuni ya Bahati Nasibu ya SportPesa.
Kijana huyo alishinda baada ya kubashiri mechi kumi na saba. Wananchi wengi wa Kenya wamepata hamasa ya kuendelea kucheza michezo ya kubahatisha ili kubadili maisha yao.
Samweli baada ya kukabidhiwa hundi ya pesa yake aliweza kufunguka kuwa alipopigiwa simu na mfanyakazi wa SportPesa hakuamini mpaka alipokabidhiwa fedha zake.
Hapa chini ni Tweet za SportPesa wakiwa na mshindi wa mtonyo huo.




Tumefika! We have come to pick the  winner along Thika Road.



T

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017