Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

JINSI Kitunguu Maji Kinavyoweza Kutibu na Kumaliza Kabisa Tatizo la Nguvu za Kiume


UKOSEFU au upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kushindwa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.

Tatizo hili limeonekana kuwakabili wanaume wengi duniani na kusababisha athari nyingi, ikiwemo suala la kuvunjika kwa uhusiano na mara nyingine ndoa pia.

Sasa hapa leo naomba nikueleze kuhusu kitunguu maji kinavyoweza kusaidia kupunguza madhara ya tatizo hilo.

Jinsi ya Kuandaa

Pondaponda kitunguu maji cheupe cha ukubwa wa kati kisha kaanga ndani ya mafuta ya samli.

Baada ya hapo changanya na kijiko kimoja cha mezani cha asali. Kisha kula nusa saa kabla ya kwenda kulala.

Fanya zoezi hilo kwa muda wa mwezi mmoja.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017