Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Hiki Ndo Chanzo Cha Ajali Ya Leo Iliyoua Wanafunzi 32 Huko Arusha


Arusha. Kamanda wa Polisi, mkoa wa Arusha amesema uchunguzi wa awali wa ajali iliyoua zaidi ya watu 35 wakiwamo wanafunzi 32, wilayani Karatu umeonyesha kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendokasi.
Kamanda Mkumbo amesema hadi sasa wanafunzi watatu waliojeruhiwa katika ajali hiyo wamefikishwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru.
Alisema majeruhi wengine wamefariki njiani wakati wakikimbizwa hospitali.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017