Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

VIDEO: Magoli Ya Chirwa Na Tambwe Yaliyoipa Yanga Ushindi


Leo May 6 2017 Ligi kuu Tanzania Bara iliendelea Dar es salaam ambapo Mabingwa watetezi Yanga walikipiga na Tanzania Prisons na mpaka mwisho Yanga ikapata ushindi wa 2-0 uliowapa point tatu.
Magoli yote unaweza kuyatazama kwenye hii video hapa chini ambapo goli lao la kwanza ni la Amis Tabwe dakika ya 71 na goli la pili ni la Obrey Chilwa katika Dakika ya 75.




Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017