Mwanamuziki Raymond a.k.a Rayvanny kutoka WCB ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Zezeta.
Wimbo huu ni wa mapenzi na umetengezwa katika studio za WCB Dar es Salaam na video kutengenezewa Afrika Kusini.
Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka
===
Tupe Maoni Yako Hapa Chini

