Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Steve Nyerere - Bongo Movie Kuna Vilaza Wengi..Ukaguzi Vyeti Feki Upite Na Huku

Muigizaji Steve Nyerere ameeleza kuwa, iwapo zoezi la ukaguzi wa vyeti feki lingegusa tasania ya uigiza yeye angecheka sana.

Kupitia mtandao wa instagram, ameandika ujumbe huu, “Sidhani kama hili zoezi la vyeti feki limeisha, lingekuja mpaka huku kwetu ningecheka sana, maana huku kuna makundi 2 wasaniii feki (2) na vilaza wasio jitambua hawa wote ni mzigo kwa TAIFA,”

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017