Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Jokate:Sitaki Tena Mapenzi Kwasasa..Nawaza Pesa Tu

MWANAMITINDO Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ amefunguka kuwa, misukosuko aliyokumbana nayo kwenye maisha ya kimapenzi imetosha kwani kama ni maumivu ameshayaonja na sasa hakuna anachowaza zaidi ya kujirundikia noti kwa kufanya kazi kwa nguvu.
 Jokate ambaye pia ni Kaimu Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) alisema: “Zamani nilidhani ukiwa mrembo huwezi kuumizwa na mapenzi, lakini ukweli ni kwamba iko hivyo na kwa hapa nilipofikia, imetosha.

Kwa sasa nawaza zaidi kutengeneza fedha pamoja na Kwa sasa nawaza zaidi kutengeneza fedha kuzungumza na watu, hususan wanafunzi kwa kuwatia nguvu na maarifa ya jinsi ya kujipatia fedha. “Kupitia nembo yangu ya Kidoti, tayari nimeanza kuzungumza na wanafunzi vyuoni na maeneo mengine. Unajua umri umekwenda na maisha hayasubiri, nimeiweka akili yangu yote kwenye kupambana na maisha.”


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017