Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Lipumba Ammwagia Sifa Jecha Kwa Kufuta Matokeo Ya Uchaguzi Zanzibar

Prof Lipumba
Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba, anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, amesema ni afadhali Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha aliyefuta matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar kuliko Maalim Seif aliyejitangazia matokeo.


Lipumba amesema, Maalim Seif ambaye ni Katibu Mkuu wa CUF alifanya kosa kubwa kujitangazia matokeo.
Lipumba anaendelea na mahojiano ya moja kwa moja yanayorushwa na televisheni ya Clouds.
Jecha Salim


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017