Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Taarifa Mbaya Kwa Chadema Kuhusu Mbunge Aliye Kuwa Amelazwa Muhimbili

Mbunge wa Tarime vijijini Mhe. #John_Heche hali yake sio nzuri, apandishwa ndege na kuwahishwa Hospital ya Muhimbili Kwa matibabu zaidi, pichani ni wabunge wenzake wamfanyia Maombi apone haraka
Watanzania tuendelea kumuombea Mbunge apate nafuu na apone.

Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017