Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Mwimbaji Kutoka Kenya Afuata Nyayo Za Ray Kigosi Kwa Kujichubua Na Kusingizia Maji

Jamaa kajichubua siku hizi ,anahojiwa eti anasingizia kwamba siku hizi anaoga vizuri, anakunywa maji masafi kwa wingi, anadrive gari zuri ,ana maisha mazuri kwa hiyo weusi umemkimbia wenyewe

Kama unakumbuka Ray naye alidai kwamba anakunywa maji mengi na anashinda kwenye AC ofisini na garini ndio maana akawa mweupe


Sasa sijui kina Cheadle, Hounsou, Mario ballotel, Bacary Sagna wasemeje sasa? kwamba wao ni weusi dark kweli hawana hela na magari au?

ANGALIA VIDEO:


Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017