Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Picha Za Linnah Akiwa Mtupu na Mimba Yake, Zatikisa Mtandaoni..Bofya Hapa Kuziona


Msanii wa bongo fleva aliyevuma sana miaka ya nyuma kidogo ambaye mpaka sasa hivi bado anakomaa na game, Linnah sanga Hivi majuzi amefanya Maternity Photoshoot. Watanzania karibu wote walikuwa wanajua kuwa Linnah ni mjamzito kwa sababu hakuficha mimba yake na alionekana akiswampa nayo hata kwenye baadhi ya events kubwa kubwa. Sasa kilichofanya mpaka tuandike ni hiyo photoshoot yenyewe, ambayo duuh ilikuwa ni balaa tupu.
Kama Ilivyokawaida yetu,Mawingu Tz tunakusogezea mapicha yoote ya kilichojiri katika photoshoot hiyo. Tukubali tukatae, Mtoto Linnah huwa amejaaliwa sana kuanzia kucha hadi nywele na hasa hasa ile sehemu ya kati kati ya mwili, kuna bonge ya mlima sijui Oldonyo Lengai ule, sasa vyoote hivo vinavyosemwa vimeanikwa kwenye hizi picha! Tupia Macho yako Hapa



Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017