Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter

Picha Za Wanafunzi (32),Walimu (2) Na Dereva (1) Waliofariki Kwa Ajali Ya Gari Huko Karatu Mkoani Arusha


Makamu wa Rais Mama Samia  leo  ataongoza wakazi wa Arusha katika Uwanja wa Sheikh Abeid Karume kuaga miili ya wanafunzi waliofariki katika ajali ya gari Arusha ambapo serikali imegharamia sanda  na majeneza kwa wanafunzi wa shule Lucky Vincent waliopoteza maisha jana kwenye ajali.Akitoa taarifa hiyo leo Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro,  amesema taarifa za awali zinaonyesha tayari serikali imekwishalipia gharama za majeneza na sanda za kuhifadhia miili ya marehemu ambao leo  wanatarajiwa kufanyiwa ibada katika Uwanja wa heikh Amri Abeid.
Hizi hapa chini ni Picha za marehemu wote waliofariki katika ajali iyo



Bonyeza HAPA Kudownload Applicationi Ya Mawingu Blog Kwenye Simu Yako Ili Kupata Habari Zetu Haraka

===

Tupe Maoni Yako Hapa Chini
 

Mawingu Blog | Home Of Newz Copyright © 2017